Skip to main content

La Nina inatarajiwa kuendelea kwa robo ya kwanza ya mwaka huu: WMO

La Nina inatarajiwa kuendelea kwa robo ya kwanza ya mwaka huu: WMO

Msimu wa La Nina unaoathiri hali ya hewa katika maeneo mbalimbali duniani unaendelea katika bahari ya Pacific.

Hata hivyo nguvu zake zinatarajiwa kupungua kiasi katika muda wa miezi mine ijayo kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirika la kimataifa la utabiri wa hali ya hewa WMO. Utabiri wote unaonyesha hali ya La Nina itaendelea katika miezi miwili hadi mine ijayo ya robo ya kwanza ya mwaka huu nap engine hadi Aprili au mapema Mai. Jason Nyakundi anaarifu.

(SAUTI YA JASON NYAKUNDI)