Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mwaka mmoja baada ya tetemeko Haiti inajikongoja:UNFPA

Mwaka mmoja baada ya tetemeko Haiti inajikongoja:UNFPA

Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la linalohusika na idadi ya watu duniani UNFPA Haiti bado inajikongoja katika ujenzi mpya mwaka mmoja baada ya tetemeko.

Watu takriban milioni moja bado wanaishi kwenye makambini ambayo ni makazi ya muda bila huduma muhimu. Ukosefu wa miundombinu , huduma za afya na mvua kubwa zimeongeza zahma kwa taifa hilo. George Jogopa na taarifa kamili.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)