Skip to main content

Mafuriko yasababisha athari zaidi kwa wanaokabiliwa na njaa nchini Niger

Mafuriko yasababisha athari zaidi kwa wanaokabiliwa na njaa nchini Niger

Zaidi ya watu 200,000 nchini Niger ambao wamekuwa wakikabiliwa na ukosefu mkubwa wa chakula kutokana na kuwepo kwa kiangazi cha muda mrefu kwa sasa wamelazika kutafuta makao salama baada na maeneo walimokuwa wakiishi kukabiliwa na namafuriko yanayosababishwa na mvua kubwa inayonyesha nchini humo.

Kwa sasa mashirika ya kutoa huduma za kibinadamu yanazisadia jamii zilizoathirika. Mafuriko hayo pia huenda yamesabisha vifo kadha vya watu huku na zaidi ya mifugo 100,000 wakipotea.