Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kutumika kwa maji taka kwa kilimo kwaonyesha manufaa makubwa na kuwapunguzia gharama wakulima

Kutumika kwa maji taka kwa kilimo kwaonyesha manufaa makubwa na kuwapunguzia gharama wakulima

Kuyasafisha maji taka na kuyatumia kwa kilimo imetetajwa kama moja ya njia ya suluhisho la ukosefu wa maji na pia katika kupunguza kuchafuliwa kwa maji.

Naibu mkurugenzi wa shirika la FAO anayehusika na masula ya ardhi na maji Pasquale Steduto anasema kuwa kutumika kwa maji taka kwa kilimo kutapunguza kufurika kwa maji taka mijini na uchafuzi wa mazingira na pia kuwapunguzia wakulima gharama ya kupata maji.