Kilimo chakwamua maisha ya mkulima Uganda
Mapambano dhidi ya umaskini ambalo ni lengo la kwanza la maendeleo ya milenia, hutegemea sekta mbalimbali , mathalani kilimo ambapo nchini Uganda kilimo kinatumiwa kuinua maisha ya wakulima. Huko Hoima mwandishi John Kibego wa radio washirika Spice Fm amekutana na mmoja wa wakulima ambao wamepata mafanikio.
Ungana naye katika makala ifuatayo.