Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Uzalendo ni lazima uwe msingi wa kutatua changamoto za ulimwengu:Ban

Uzalendo ni lazima uwe msingi wa kutatua changamoto za ulimwengu:Ban

Jamii ya kimataifa imetakiwa kushirikiana ili kuhakikisha kuwepo maisha mema na salama ya siku za baadaye kwa wote. 

Katika ujumbe wake kabla ya maadhimisho ya siku ya kimataifa ya uzalendo wa binadamu inayoadhimishswa hii leo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameelezea umuhimu wa kushirikina ili kukabilina na changamoto za ulimwengu. Monica Morara anaripoti.

(SAUTI YA MONICA MORARA)