Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Chuja:

Habari Mpya

Vitafunio vinavyouzwa katika duka nchini Kazakhstan.
© UNICEF/Zhanara Karimova

Mtu mmoja kati ya wanane anaishi na utipwatipwa duniani

Utafiti mpya uliotolewa leo na jarida la kitabibu la Uingereza Lancet na shirika la afya la Umoja wa Mataifa duniani WHO unaonyesha kwamba, mwaka 2022, zaidi ya watu bilioni 1 duniani sasa wanaishi na unene wa kupindukia ama utipwa tipwa. Duniani kote, unene wa kupindukia kwa watu wazima umeongezeka zaidi ya mara mbili tangu mwaka 1990, na umepanda mara nne kwa watoto na vijana wenye umri wa miaka 5 hadi 19. 

Sauti
2'48"