Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

24 AGOSTI 2022

24 AGOSTI 2022

Pakua

Katika Jarida la habari za Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea
-Ni miei sita tangu kuzuka kwa vita nchini Ukraine, mashirika ya Umoja wa Mataifa yamefanya nini hadi sasa kuwasaidia wananchi wa taifa hilo?
-Nchini Sudan Kusini mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani UNMISS umejenga shule na kituo cha polisi mjini Mvolo katika jitihada za ujenzi wa amani
-Makala leo inatupeleka nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR ambako kikosi cha Tanzania kinachohudumu chini ya mpango wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa MINUSCA kijulikanacho kama TANBAT5 kimetoa msaada wa dawa na vifaa tiba katika hospitali ya Berberat 
-Na katika mashinani mkurugenzi mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa la masuala ya Ukimwi UNAIDS Bi Winnie Byanyima anafafanua kwa nini watu wanaendelea kufa na ukimwi.

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
11'45"