MINUSCA

17 AGOSTI 2020

Katika Jarida la habari hii leo Flora Nducha anakuletea

Sauti -
11'3"

MINUSCA yapigia chepuo azma ya CAR ya kuondoa machungu magerezani

Wanawake wafungwa katika gereza la Bimbo lililoko kilometa takribani 10 kutoka mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, Bangui watanufaika na mradi wa ujumuishwaji katika jamii unaotekelezwa na ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu nchini  humo,

Sauti -
2'13"

06 Agosti 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo na Assumpta Massoi 
- Shirika la  mpango wa chakula duniani   WFP wajitosa kuisaidia Lebanon kwani bila bandari ya Beirut, hali itakuwa mbaya zaidi Lebanon
Sauti -
11'46"

MINUSCA yapigia chepuo azma ya CAR ya kuondoa machungu magerezani

Wanawake wafungwa katika gereza la Bimbo lililoko kilometa takribani 10 kutoka mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, Bangui watanufaika na mradi wa ujumuishwaji katika jamii unaotekelezwa na ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu nchini  humo, MINUSCA. 

07 July 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo.

-Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP limeonya kwamba idadi ya Wakenya wasio na uhakika wa chakula na kuhitaji msaada wa haraka wa kibinadamu

Sauti -
12'26"

MINUSCA yabisha hodi magerezani CAR

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati,

Sauti -
1'53"

18 Juni 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo
Sauti -
9'56"

Uchaguzi ukinukia CAR, shehena nyingine ya vifaa vya uchaguzi yawasili

Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR,  shehena ya tatu ya vifaa vya uchaguzi imewasili katika mji mkuu wa nchi hiyo Bangui.

Sauti -
2'42"

17 JUNI 2020

Katika Jarida la Habaroi hii leo kutoka Umoja wa Mataifa Flora Nducha anakuletea

-  Bei ya chajo ya homa ya vichomi au  ‘Numonia’ imeshuka, na kuleta ahueni kwa nchi maskini umesema leo Umoja wa Mataifa

Sauti -
9'58"

Walinda amani wanawake toka Brazil na India watwaa tuzo ya jinsia ya UN ya 2019

Mwanamke mlinda amani kutoka Brazil anayehudumu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati na mlinda amani mwanamke kutoka India ambaye amehitimisha hivi karibuni jukumu lake nchini Sudan Kusini wamechaguliwa kupokea tuzo ya mwaka 2019 ya Umoja wa Mataifa ya mwanajeshi mchagizaji wa masuala ya kijinsia.