car

Rwanda yapatia MINUSCA mashine ya kupima COVID-19

Kikosi cha Rwanda kwenye ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, MINUSCA kimepatia maabara ya kitaifa ya kibayologia nchini humo mashine yenye thamani ya dola 200,000 kwa ajili ya kupima ugonjwa virusi vya Corona au COVID-19. 

Mlinda amani wa UN kutoka Burundi auawa CAR, Guterres azungumza

Umoja wa Mataifa umeripoti hii leo ya kwamba mlinda amani wake kutoka Burundi ameuwa kwenye mji wa Grimari ulioko katikati mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR.
 

Huko CAR mafuriko ya miezi minne iliyopita bado "mwiba" kwa wakazi

Miezi minne tangu mafuriko yaliyolazimisha takribani watu 28,000 kukimbia makazi yao kwenye mji wa Bangui, nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR bado wakimbizi hao wa ndani wanakabiliwa na changamoto kubwa.Taarifa kamili na Grace Kaneiya.

Sauti -
2'21"

12 Machi 2020

FLORA: Hujambo na Karibu kusikiliza Jarida kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa, kutoka hapa New York Marekani.

JINGLE (04”)     

Sauti -
12'5"

Mafuriko ya miezi minne iliyopita huko CAR bado "mwiba" kwa wakazi

Miezi minne tangu mafuriko yaliyolazimisha takribani watu 28,000 kukimbia makazi yao kwenye mji wa Bangui, nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR bado wakimbizi hao wa ndani wanakabiliwa na changamoto kubwa.Taarifa kamili na Grace Kaneiya

MINUSCA yatoa mafunzo ya ujasiriamali kwa wanawake wafungwa nchini CAR wapatiwa mafunzo ya ujasiriamali

Mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR ujulikanao kama

Sauti -
1'34"

Kuhukumiwa kwa wanamgambo CAR ni ishara ya kutendeka kwa haki:Lt jenerali Keita

Hatua ya hivi karibuni ya kuwahukumu wajumbe wa kundi la wanamgambo nchini Jamhuri ya afrika ya Kati CAR, kutokana na mauaji ya raia na walinmda amani yalitotekelezwa mwaka 2017 imetoa ujumbe mzito kwamba ukwepaji sheria hauvumiliki. 

Hukumu dhidi ya wanamgambo CAR kunaashiria kutendeka kwa haki- Lt. Jenerali Keita

Hatua ya hivi karibuni ya kuwahukumu wajumbe wa kundi la wanamgambo nchini Jamhuri ya afrika ya Kati CAR, kutokana na mauaji ya raia na walinmda amani yalitotekelezwa mwaka 2017 imetoa ujumbe mzito kwamba ukwepaji sheria hauvumiliki. 

Sauti -
2'2"

02 MACHI 2020

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Grace Kaneiya anakuletea

Sauti -
11'38"

Mwaka 2020 ni wa kipekee kwa CAR- UN

Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa hii leo wamejulishwa kuwa mwaka huu wa 2020 utakuwa mwaka muhimu sana na wa kihistoria kwa wananchi na taifa la Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR.