Fistula bado tatizo, UNFPA Tanzania wapania kuitokomeza
Fistula! Ugonjwa unaowakumba wanawake na wasichana kutokana na kuchelewa kupata huduma stahiki wakati wa kujifungua.
Fistula! Ugonjwa unaowakumba wanawake na wasichana kutokana na kuchelewa kupata huduma stahiki wakati wa kujifungua.
Baada ya kugundulika kwa visa vinne vya homa mpya ya Lassa nchini Benin, serikali kwa kusaidiwa na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) na lile la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto(UNICEF), limeanza kuchukua hatua dhidi ya ugonjwa huo.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni(UNESCO) limeandaa mkutano leo mjini Paris, Ufaransa baina ya wamiliki wa vyombo vya habari na watendaji kutoka kanda zote pamoja na nchi wanachama ili kuchunguza njia thabiti za kuboresha usalama wa waandishi wa habari na kukabiliana na u
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo MONUSCO umezindua kampeni ili kuelimisha jamii kuhusu ukatili wa kingono na hasa kupinga ukwepaji sheria ambao umeenea nchini humo.
Idadi ya wahamiaji na wakimbizi wanaowasili nchini Italia na Ugiriki imefikia zaidi ya elfu saba hadi kufikia Februari nne limesema Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM).
Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu kuhusu ukatili wa kingono katika mizozo, Zeinab Hawa Bangura, ametaka manusura wa ukatili wa kingono wapewe kipaumbele na kupatiwa huduma tosha zikiwamo za kimatibabu na kisaikolojia, wakati wa harakati za kusaka hifadhi.
Moto ni tishio katika utunzaji wa mazingira na hivyo pia waweza kufanyika kikwazo katika jitihada za makabiliano dhidi ya changamoto za mabadiliko ya tabianchi.
Watu wapatao 50,000 wanahitaji usaidizi wa kibinadamu huko Mundri, katika jimbo la Equatoria Magharibi, nchini Sudan Kusini, kufuatia mapigano katika miezi michache iliyopita.
Nchi mbalimbali zimekuwa zikichukua hatua ikiwa ni pamoja na kuelimisha umma, na wadau wote wakiwemo mangariba.
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Kipalestina UNRWA limepokea msaada wa dola milioni 59 kutoka serikali ya Saudi Arabia kupitia shirika la mfuko wa maendeleo SDF, kwa ajili ya utekelezaji wa miradi nchini Gaza, ukingo wa Magharibi wa mto Jordan na Jordan