Si afya tu COVID-19 imeathiri pia mifumo ya chakula
Taarifa ya pamoja iliyotolewa na mashirika ya Umoja wa Mataifa imeonya kwamba hatua madhubuti zisipochukuliwa sasa kukabiliana na athari za janga la corona au COVID-19 kwa maisha ya watu, ajira na mifumo ya chakula basi uhakika wa chakula duniani utakuwa njiapanda