Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

COVID-19 limeleta umakini mpya kuhusu umuhimu wa kuimarisha upunguzaji wa hatari za majanga-Guterres

COVID-19 limeleta umakini mpya kuhusu umuhimu wa kuimarisha upunguzaji wa hatari za majanga-Guterres

Pakua

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya kupunguza hatari ya majanga, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametahadharisha kuwa janga la COVID-19 limeleta umakini mpya kuhusu umuhimu wa kuimarisha upunguzaji wa hatari za majanga kwani hali mbaya zinazidi kuwa mbaya zaidi pindi panapokosekana udhibiti mzuri wa hatari za majanga.

Audio Credit
Flora Nducha- Ahimidiwe Olotu
Audio Duration
2'25"
Photo Credit
UN News