Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Sasa unaweza kuripoti unyanyasaji kwa mtoto kupitia simu

Sasa unaweza kuripoti unyanyasaji kwa mtoto kupitia simu

Pakua

Mradi wa huduma ya simu namba 116 inayotumiwa bure kutoa taarifa taarifa za matukio ya unyanyasaji kwa mtoto, mradi unaofadhiliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu UNFPA Tanzania unaendelea kuwa msaada wa kupambana na ukatili dhidi ya watoto nchini Tanzania.  

Audio Credit
Flora Nducha-Michael Marwa
Audio Duration
2'16"
Photo Credit
Picha/Worldreader