Tumaini katika biashara ya mkimbizi kati ya changamoto za COVID-19, Uganda
Licha ya changamoto za biashara kudorora kutokana na vikwazo vya kudhibiti kuenea kwa virusi vya corona au COVID-19, wanawake wakimbizi nchini Uganda wanajitahidi kuendelea kujikimu wakiwa na matumaini siku moja mambo yatarejea kuwa kama kawaida. Basi ungana na John Kibego aliyetem