Ukosefu wa taarifa kuhusu haki unakwamisha utekelezaji wake kikamilifu Kenya-Robi Chacha
Ibara ya nane ya tamko la haki za bindamu la Umoja wa Mataifa inasema kuwa, kila mtu ana haki ya kupata msaada wa kisheria na kutumia mfumo wa kisheria iwapo haki zake haziheshimiwi.