Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WFP yasema vita visipokoma Yemen njaa itazidi kuwaangamiza raia

WFP yasema vita visipokoma Yemen njaa itazidi kuwaangamiza raia

Pakua

Kutokana na  kuzorota kwa hali ya kiusalama  nchini Yemen, shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani  WFP linataka mapigano ya sasa katika mji wa bandari wa Hodeidah yakomeshwe mara moja kwani mbali ya kukatili Maisha ya watu yanayongeza idadi ya waathirika wa njaa linalowapa msaada wa chakula ,iliyopanda kutoka milioni 8  hadi milioni 14.

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
1'47"
Photo Credit
UNICEF