Wakazi wa Goree waondolewa adha ya jenereta za umeme na benki ya dunia
Pakua
Mradi wa Benki ya Dunia wa kutandaza nyaya za umeme baharini, umeondoa adha ya kukatika umeme mara kwa mara iliyokuwa ikikumba wakazi wa kisiwa cha Gorée nchini Senegal
Audio Credit
Siraj.Kalyango
Audio Duration
1'58"