Mkimbizi anatafuta maisha - JJ Bola
Umoja wa Mataifa unaendelea kusisitiza kuwa mtazamo potofu kuhusu uhamiaji na wahamiaji umeendelea kukwamisha matumizi bora ya dhana hiyo kote ulimwenguni.
Umoja wa Mataifa unaendelea kusisitiza kuwa mtazamo potofu kuhusu uhamiaji na wahamiaji umeendelea kukwamisha matumizi bora ya dhana hiyo kote ulimwenguni.
Nchini Syria hakuna dalili zozote za mapigano kumalizika huku watoto walionasa kwenye mzozo huo wakiendelea kukumbwa na jinamizi kila uchao.
Vita dhidi ya kikundi cha wapiganaji wa ISIL au Da’esh bado ni changamoto duniani na vinahitaji hatua za dharura na za pamoja.
Maji safi na salama ni uhai wa viumbe vyote ulimwenguni ikijumuisha binadamu, wanyama na mimea. Lengo namba 6 la malengo ya maendeleo endelevu, SGD linazungumzia maji safi na salama kwa kila mtu ifikapo ya mwaka 2030.
Ali Haji Hamad, Afisa Jinsia wa UNFPA Tanzania anaangazia;
Hali ya ukeketaji nchini Tanzania hivi sasa iko vipi?
Nini hasa kichocheo cha mafanikio hayo?
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres na mwanariadha nyota mkimbizi wa Sudan Kusini Yiech Pur Biel wasisitiza amani wakati michezo ya Olimpiki ya kawaida na ile ya walem,afu ikikaribia kun'goa nanga PyengChong Jamhuri ya Korea
Ripoti ya hivi karibuni ya shirika la kazi duniani, ILO inaonyesha kuwa soko la ajira kwa vijana katika nchi zinazoendelea hususan katika bara la Afrika, Amerika kusini na Asia kusini linazidi kusuasua kutokana na ukuaji mdogo wa uchumi katika nchi hizo.
Ukitaka kupanga miji vizuri, husisha wanawake! Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na makazi, UN-Habitat, Maimunah Mohd Sharif wakati akifungua mkutano wa tisa wa jukwaa la miji,WUF9 ulioanza leo huko Kuala Lumpur Malaysia.
Wakazi wa Gazi na Makongeni huko Kwale mjini Mombasa nchini Kenya waliamua kushikamana na kulivalia njuga suala la uhifadhi wa mazingira kwa kuanzisha mradi ambao pia unawakwamua katika umasikini.
Mwakilishi wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya upokonyaji silaha Izumi Nakamitsu amesema ushahidi zaidi wa matumizi wa silaha za sumu zilizopigwa marufuku nchini Syria ni sharti zipewe jibu la kutosha na Baraza la Usalama la umoja huo.