Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanaume hawana hofu tena kuoa wasichana wasiokeketwa- UNFPA

Wanaume hawana hofu tena kuoa wasichana wasiokeketwa- UNFPA

Pakua

Ali Haji Hamad, Afisa Jinsia wa UNFPA Tanzania anaangazia; 

Hali ya ukeketaji nchini Tanzania hivi sasa iko vipi?

Nini hasa kichocheo cha mafanikio hayo? 

Maghariba imekuwa ni vigumu sana kuachia zana zao kwa kuwa ni mbinu ya kujipatia kipato. Nini kimefanyika? 

Bila kukeketwa wasichana wanaona aibu kuolewa na wavulana wanaona aibu kuoa mwanamke hajakeketwa. Nini kimefanyika kubadili mtazamo?

Audio Credit
Assumpta Massoi
Sauti
6'15"
Photo Credit
Wasichana waliopokea mafunzo nchini Tanzania badala ya ukeketaji(Picha ya UNFPA / Zainul Mzige)