UM wataka tuhuma kuhusu matumizi ya silaha za kemikali zijibiwe kwa umakini

UM wataka tuhuma kuhusu matumizi ya silaha za kemikali zijibiwe kwa umakini

Pakua

Mwakilishi wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa  kuhusu masuala ya upokonyaji silaha Izumi Nakamitsu amesema ushahidi zaidi  wa matumizi wa silaha za  sumu zilizopigwa marufuku nchini Syria ni sharti zipewe jibu la kutosha na Baraza la Usalama la umoja huo.

Audio Credit
Taarifa ya Siraj Kalyango
Audio Duration
1'11"
Photo Credit
Kikao cha baraza la usalama kuhusu hali ya Mashariki ya Kati. Picha: UM/Eskinder Debebe