Je Katiba ya Umoja wa Mataifa inaenda na wakati?
Kupatia suluhu changamoto kama vile athari za mabadiliko ya tabianchi, uhamiaji na ukosefu wa usawa ni majaribio makubwa sana kwa Katiba ya Umoja wa Mataifa katika kuhakikisha dunia inakuwa bora kwa watu wote.