Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kipindupindu chalipuka kambi ya wakimbizi kyangwali, 400 walazwa

Kipindupindu chalipuka kambi ya wakimbizi kyangwali, 400 walazwa

Pakua

Wakati mamia ya wanaokimbia mzoozo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wakiendelea kumiminika nchini Uganda , wakimbizi sita wamethibitishwa kuaga dunai huku wengine zaidi ya 400, wakilazwa hospitalini baada ya kuugua ugonjwa unaoshukiwa kuwa kipindupindu katika kambi ya Kyangwali nchini Uganda. 

Audio Credit
John Kibego
Audio Duration
1'21"
Photo Credit
Wacongo wanaotoroka Vurugu DRC kuelekea Uganda. Picha: UN/John Kibego