Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Marufuku ya mifuko ya plastiki ni kutekeleza kwa vitendo makubaliano ya UN:Makamba 

Mfuko wa plastiki.
UNnewskiswahili/Patrick Newman
Mfuko wa plastiki.

Marufuku ya mifuko ya plastiki ni kutekeleza kwa vitendo makubaliano ya UN:Makamba 

Malengo ya Maendeleo Endelevu

Serikali ya Tanzania inaanza rasmi kesho Juni Mosi utekelezaji wa hatua ya kuachana na mifuko ya plastiki kwa kubebea bidhaa kuanzia nyumbani, madukani na hata masokoni.

Taifa hilo la Afrika ya Mashariki linafuata nyayo za Rwanda na Kenye kwenye ukanda huo ambazo amri hiyo ilishaanza kutekelezwa kwa mujibu wa makubaliano ya kimataifa ya kulinda mazingira dhidi ya bidhaa za plastiki. Akizungumza na Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa na  waziri wa mazingira wa Tanzania Januari Makama amesema ni hatua kubwa, muhimu na inaanza kwa wakati muafaka kwani

(MAHOJIANO NA JANUARI MAKAMBA)