Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ndoa za utotoni na vitendo vya ukeketwaji kwa wasichana nchini Kenya.

Ndoa za utotoni na vitendo vya ukeketwaji kwa wasichana nchini Kenya.

Kusini mwa Janga la sahara imebainika kuwa ndoa za utotoni na vitendo vya ukeketwaji kwa wasichana vimeshamiri hivyo kuwakosesha wasichana fursa  ya kupata elimu. Josephine na cecilia ni wasichana kutoka kenya ambao walipambana na hali hii wakiwa wadogo sana.  Kwa undani zaidi, ungana na Patrick Newman kwa makala ifuatayo.....