Wakimbizi 300 kuanza kuwasili Burundi kesho: Mbilinyi

6 Septemba 2017

Awamu ya kwanza ya wakimbizi wa Burundi wanaorejea kwa hiari kutoka Tanzania wanatarajiwa kuwasili nchini mwao kesho, hii ni baada ya maafikiano ya juma lililopita kati ya shirika la Umoja wa Mataifa lakuhudumia wakimbizi UNHR, serikali ya Tanzania na Burundi. Joseph Msami na taarifakamili.

( TAARIFA YA MSAMI)

( Sauti ya Mbilinyi)

Huyu ni Abel Mbilinyi, Mwakilishi Mkazi wa UNHCR nchini ambaye nimezungumza naye ikiwa ni karibu saa 24 kabla ya kuanza kurejea kwa awamu ya kwanza ya wakimbizi wa Burundi, itakayoshuhudia tkaribani wakimbizi 300.

Amenieleza kuwa maandalizi yanaendelea.

( Sauti Mbilinyi)

Kadhalika amezungumzia changamoto katika mchakato huo wa kuwarejesha kwa hiari wakimbizi hao wa Burundi wanaorejea kutoka Tanzania ni.

( Sauti Mbilinyi)

Sintofahamu kuhusu wakimbizi hao ilitokana na nini hasa.

( Sauti Mbilinyi)

 

♦ Kupata takwimu za waathirika vitani Ukraine bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter