Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkakati wa WFP Tanzania utasaidia kutokomeza njaa

Mkakati wa WFP Tanzania utasaidia kutokomeza njaa

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP hivi karibuni limezindua mkakati wa miaka mine wa kitaifa nchini Tanzania (CSP). Walengwa wakubwa wakiwa watanzania wenyewe hasa wakulima wadogo wadogo na wakimbizi kutoka nchi jirani. Ili kuchambua zaidi kuhusu mkakati huo, faida na madhumini yake Flora Nducha amezungumza na Juvenal Kisanga afisa wa program za WFP nchini Tanzania