Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Baada ya kuhutubia New York, mwanafunzi kutoka Tanzania apanga mwelekeo

Baada ya kuhutubia New York, mwanafunzi kutoka Tanzania apanga mwelekeo

Kijana Saul Mwame kutoka Tanzania ambaye ameshiriki mkutano wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa kuhusu malengo ya maendeleo endelevu, SDGs hususan lengo namba nne la elimu ametaja hatua atakazochukua pindi tu akirejea nyumbani.

Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili jijini New York, Marekani Saul ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari DCM Mvumi mkoani Dodoma, amesema suala la kwanza..

(sauti ya Saul)

Saul mwenye umri wa miaka 18 na muasisi wa shirika la Building Africa’s Foundation, BAF amegeukia pia vijana na kuwaeleza kuwa..

(Sauti ya Saul)