Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tutawafikia wanawake mashinani: Dk Josephine

Tutawafikia wanawake mashinani: Dk Josephine

Mkutano wa mtandao wa wanawake viongozi barani Afrika uliozinduliwa wiki hii unafunga pazia leo kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York Marekani ambapo washiriki wameahidi kuwafikia wanawake mashinani.

Katika mahojinao na idhaa hii, Dk Josephine Kulea ambaye ni mwasisi na Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya wasichana wa jamii ya Samburu kutoka chini Kenya amesema baada ya mijadala kuhusu nmtandao huo atatumia mbinu hii kuwafikia wanawake nchini mwake.

( Sauti Dk Josephine)

Amesema wanachohitaji wanawake ili kuinuka katika nyanja kadhaa zikiwamo maendeleo na amani ni.

( Sauti Dk Josephine)