Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Burudani ya tamasha la walinda amani: Darfur Sudan

Burudani ya tamasha la walinda amani: Darfur Sudan

Katika kuadhimisha siku ya walinda amani hapo Mei 29, kundi hili limetekeleza mambo kadhaa juma hili ikiwamo tamasha la utamaduni huko Darfur Sudan kwenye ujumbe wa pamoaj wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika UNAMID nchini humo.

Ungana na Joseph Msami katika makala itakayokupa undani wa namna utamaduni ujlivyounganisha walinda amani kutoka mabara tofauti.