Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mazao ya mikundekunde kuinua wakulima Tanzania

Mazao ya mikundekunde kuinua wakulima Tanzania

Katika kutekeleza lengo namba moja la kutokomeza umaskini nchini Tanzania, serikali ya nchi hiyo inaelekeza nguvu katika kuinua kilimo cha mazao ya mikundekunde wakati huu ambapo soko la uhakika limepatikana India.

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji nchini humo Charles Mwijage katika mahojiano hivi karibuni na Idhaa hii amesema kuwa kwa kawaida Tanzania huuza tani laki moja za jamii ya mikunde kwa mwaka zinazoipatia dola milioni mbili lakini sasa..

(Sauti ya Mwijage)

Amesema kwa kufanya hivyo..

(Sauti ya Mwijage)