Skip to main content

Kenya kutekeleza SDGs, huku ikitaka mabadiliko kwenye Baraza la Usalama

Kenya kutekeleza SDGs, huku ikitaka mabadiliko kwenye Baraza la Usalama

Leo ikiwa ni siku ya pili ya mjadala wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa nchi mbali mbali zimeendelea kuwasilisha ripoti zao, Kenya ambayo inawakilishwa na naibu rais, Wiliiam Ruto imesema inachukua hatua kuhakikisha hakuna atakaye salia nyuma katika ajenda ya 2030 ya maendeleo endelevu, sanjari na kutokomeza umaskini, lakini imetoa ombi maalum kwa Umoja wa Matifa ikisema kuna umuhimu wa kupanua wigo wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

(Sauti ya Ruto1)

Ruto pia amesema Kenya kama nchi zingine inakabliwa na changamoto nyingi za kimaendeleo lakini kubwa zaidi ni

(sauti ya Ruto2)