Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ni kipaumbele cha Msumbiji

Kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ni kipaumbele cha Msumbiji

Rais Fellipe Nyusi wa Msumbiji amesema suala la kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi ni kipaumbele cha taifa lake, na hasa katika uhifadhi wa mazingira na mali asili, hali iliyowafanya wakatunukiwa tuzo wiki hii hapa nchini Marekani.

(Sauti ya Nyusi 1)

Ameongeza kuwa ,nchi yake inashuhudia kwa macho athari za mabadiliko ya tabia nchi na kwa mantiki hityo ingawa bado haijatia saini mkataba wa Paris wa mabadiliko ya tabia nchi wako mbioni kufanya hivyo..

(Sauti ya Nyusi 2)