Skip to main content

UNICEF yachukua hatua kunusuru ukame Msumbiji

UNICEF yachukua hatua kunusuru ukame Msumbiji

Tishio la ukame kutokana na El Nino ambalo linayakumba mataifa ya Afrika hususani yale ya kusini mwa bara hilo, ni jambo ambalo Umoja wa Mataifa unalipa kipaumbele.

Nchini Msumbiji madhara ya ukame ni dhahiri sasa. Umoja wa Mataifa umeanza kuchukua hatua mujarabu.Ungana na Joseph Msami katika makala ifuatayo.