Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wigo wa ushiriki kwenye mikutano ni hakikisho ujumbe kufikia walengwa

Wigo wa ushiriki kwenye mikutano ni hakikisho ujumbe kufikia walengwa

Wakati wiki ya uwiano baina ya imani mbalimbali za kidini ulimwenguni ikiwa imeanza  kuadhimishwa, mtandao wa kimataifa wa dini kwa watoto , GNRC imesema ushiriki mpana wa wajumbe kwenye mikutano kuhusu nafasi ya dini kwenye masuala ya kimataifa ni hakikisho kuwa ujumbe utafikia wahusika mashinani.

Katibu Mkuu wa taasisi hiyo Dkt. Mustapha Ali ameiambia idhaa hii kando mwa mkutano huo jijini New York, Marekani kuwa awali ushiriki ulikuwa finyu na hivyo maazimio kukwamia maeneo ya mijini lakini sasa asasi zimeongezwa hivyo….

(Sauti ya Mustafa)

Amesema kile ambacho kinapaswa kufanyika ili kuongeza kasi ya harakati za kudhibiti misimamo mikali kwa vijana ni..

(Sauti Mustafa)