Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNCHR , wadau kusaidia waathirika wa mafuriko Burundi

UNCHR , wadau kusaidia waathirika wa mafuriko Burundi

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR nchini Burundi, kwa kushirikiana na wadau wanahaha kusaidia maelfu ya watu walioathirika kutokana na mvua nyingi zinazoendelea kunyesha nchini humo.

Takribani nyumba 7,000 zimeathiriwa na mafuriko nchini humo, wakati huu ambapo  serikali aimetoa ombi kwa jumuiya ya kimataifa kusaidia waathiriwa hao.

Katika mahojiano maalum na idhaa hii , Mwakilishi mkazi wa UNHCR nchini humo Abel Mbilinyi anasema.

(SAUTI MBILINYI)