Mukhtasari wa Matukio ya Mwaka 2015 Umoja wa Mataifa

31 Disemba 2015

Leo ikiwa ni Siku ya Mwisho ya Mwaka 2015, tunakuletea muhtasari wa matukio muhimu yaliyoangaziwa katika Umoja wa Mataifa mwaka huu. Umesheheni mambo mseto, kutoka idadi ya wakimbizi duniani kufikia milioni 60, Umoja wa Mataifa kutimu miaka 70, Papa Francis kutembelea Umoja wa Mataifa, hadi kutokomezwa maambukizi ya Ebola Afrika Magharibi.

Kwa hayo na mengine mengi, ungana na Assumpta Massoi na Joseph Msami, katika muhtasari wa matukio unaomulika zaidi yalojiri barani Afrika.

(Matukio ya Mwisho wa Mwaka.)

 

♦ Kurambaza ukurasa mahsusi wa Siku ya Kiswahili Duniani bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter