Watu wenye ulemavu wakumbana na vikwazo katika huduma za afya Tanzania

Watu wenye ulemavu wakumbana na vikwazo katika huduma za afya Tanzania

Huduma za afya kwa watu wenye ulemavu nchini Tanzania bado ni zinasalia na changamoto licha ya ya sera na sheria za nchi kusema wazi kuwa kundi hilo lipatiwe bure matibabu ikiwamo kupewa kipaumbele. Martin Nyoni wa redio washirika redio SAUT ya Mwanza Tanzania amefuatilia upatikanaji wa huduma hiyo mkoani Mwanza na kuandaa makala ifuatayo.