Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM umechagiza ustawi wa dunia: Tanzania

UM umechagiza ustawi wa dunia: Tanzania

Kuelekea miaka 70 ya Umoja wa Mataifa tarehe 24 mwezi huu, nchi wanachama zimeendelea kutaja mafanikio ambayo yametokana na uwepo wa chombo hicho chenye lengo la kuchagiza maendeleo, amani,usalama na haki za binadamu ulimwenguni kote.

Miongoni mwa nchi hizo ni Tanzania ambapo Naibu waziri wake wa maendeleo ya jamii, jinsia na watoto Pindi Chana ametolea mfano mikataba ya kimataifa..

(Sauti ya Pindi-1)

Akaenda mbali kutolea mfano Tanzania.

(Sauti ya Pindi-2)