Utekelezwaji wa mkataba wa amani Sudan Kusini ni jukumu letu sote: Kenyatta

Utekelezwaji wa mkataba wa amani Sudan Kusini ni jukumu letu sote: Kenyatta

Katika kuhakikisha usalama ukanda wa Afrika Mashariki  nchi wanachama zinapaswa kusaidia katika mchakato wa utekelezaji wa mkataba wa amani uliotiwa saini na viongozi wa Sudan Kusini hivi karibuni amesema Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.

Katika mahojiano na Joseph Msami baada ya kuhutubia mkutano wa 70 wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa Rais Kenyatta anasema hatua hiyo itasaidia.

(SAUTI KENYATTA)

Kuhusu maendeleo endelvu Rais Kenyatta anasema

(SAUTI KENYATTA)