Shakira, Anjelique Kidjo wapigia upatu SDGS

Shakira, Anjelique Kidjo wapigia upatu SDGS

Kazi na dawa! Ndivyo inavyosikika katika tukio la kupaza sauti kuhusu malengo ya maendeleo endelevu SDGS lililowaleta pamoja nyota mbalimbali wakiwemo wanamuziki na wanaharakati wakati wa uzinduzi wa malengo hayo.

Ungana na Joseph Msami katika makala itakayosafirisha hisia zako katika eneo la tukio.

(SAUTI MAKALA)