Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tamasha lapazia sauti suala la amani:UM

Tamasha lapazia sauti suala la amani:UM

Wiki hii kumefanyika tamasha maalum la amani kwenye Umoja wa Mataifa kwa lengo la  kupaza sauti kwa ajili ya amani. Joshua Mmmali alikuwa shuhuda wetu, basi ungana naye katika makala hii ili upate kufahamu yaliyojiri.