Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Togo yanufaika na kilimo cha mimea asili

Togo yanufaika na kilimo cha mimea asili

Mlonge au moringa kwa kiingereza ni mmea ambao umetambuliwa na Kongamano la Umoja wa MAtaifa la Misitu, UNFF, kwa manufaa yake katika lishe ya binadamu, riziki ya wakazi wa maeneo ya misitu na pia fursa ya kutunza misitu duniani kote.

Nchini Togo, mmea huu bado haujulikani sana, lakini kilimo chake kimeanza kunufaisha baadhi ya wakulima. Ungana na Priscilla Lecomte kwenye Makala hii.