Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Baada ya maafa jamii yahaha kunusuru elimu nchini Uganda

Baada ya maafa jamii yahaha kunusuru elimu nchini Uganda

Mizozo ni miongoni mwa sababau zinazodidimiza huduma za kijamii ikiwamo elimu jambo ambalo huathiri mfumo mzima wa elimu hususan wanafunzi wengi wao wakiwa ni watoto.

John Kibego kutoka nchini Uganda ameandaa makala kuhusu athari za mgogoro wa ardhi uliosababisha kuchomwa moto kwa shule moja nchini humo ambapo sasa juhudi zinafanyika ili kunusuru mustakhabali wa watoto. Ungana naye.