Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hatma ya majangili katika mbuga za wanyama wa porini nchini Uganda

Hatma ya majangili katika mbuga za wanyama wa porini nchini Uganda

Uwindaji haramu ni kiini cha biashara haramu ya bidhaa za wanyamapori na ni changamoto ya kimataifa ambayo athari zake ni kubwa.

Nchi mbalimbalii zinaendelea kukabiliana na changamoto hii kwa njia mbali mbali.   Uganda ni miongoni mwa nchi ambazo zinajivunia mambo mengi ikiwemo mbunga za wanyama ambapo  mara kwa mara wanyama hawa wako katika hatari ya uwindaji haramu.

Basi ungana na John Kibego kutoka Uganda.