Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Waafrika waadhimisha wiki ya bara hilo katika Umoja wa Mataifa

Washiriki wa wiki ya Afrika/Picha ya UM/Idhaa ya Kiswahili/Grace Kaneiya

Waafrika waadhimisha wiki ya bara hilo katika Umoja wa Mataifa

Afrika Afrika Afrika! Hii ni lugha iliyozungumzwa kwa wingi juma hili katika wiki ya Afrika ambayo imeadhimishwa kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York.

Kandoni mwa hayo  kumefanyika hafla maalum kwa ajili ya wiki hiyo . Hafla hii imewaleta pamoja watu kutoka nchi mbalimbali za barani Afrika Grace Kaneiya alikuwa shuhuda wetu na ametuandalia makala ifuatayo ungana naye.