Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Afrika ihakikishe malengo yajayo yanazingatia maslahi yake: Balozi Manongi

Balozi Tuvako Manongi, Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa. (Picha:UN/Rick Bajornas)

Afrika ihakikishe malengo yajayo yanazingatia maslahi yake: Balozi Manongi

Wakati wiki ya Afrika kwenye Umoja wa Mataifa ikifikia ukingoni Ijumaa hii, mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Tuvako Manongi amesema changamoto kwa bara hilo ni kuhakikisha malengo mapya ya maendeleo yanazingatia maslahi ya Afrika.

Amesema hayo alipozungumza kwenye mahojiano maalum na Idhaa hii mjini New York.

(Sauti ya Balozi Manongi)

Akizungumzia umuhimu wa wiki ya Afrika balozi wa kudumu wa Kenya katika Umoja wa Mataifa Macharia Kamau amesema ni kutoa msukumo kwa jumuiya ya kimataifa kusaidia bara hilo katika maendeleo

(Sauti ya Balozi Kamau)