Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Azimio la kukabiliana na ukatili wa kingono lapitishwa:Somalia

Baada y mkutano washiriki wa mkutano washika bango (Picha ya UM)

Azimio la kukabiliana na ukatili wa kingono lapitishwa:Somalia

Nchini Somalia Serikali na wadau wamepitisha makubaliano kuhusu jinsi ya kukabiliana na suala la ukatili wa kingono nchini humo. Hii ni kufuatia mkutano wa siku tatu wa jinsi ya kutekeleza na kuimarisha uelewa umuhimu wa kuwalinda wasichana na wanawake Somalia basi ungana na Grace Kaneiya katika makala ifuatayo