Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakulima Tanzania wawezeshwa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi

Wakulima Tanzania wawezeshwa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi

Mabadiliko ya tabia ya nchi yameleta madhara katika sekta mbalimbali ikiwamo sekta ya kilimo ambapo katika kukabiliana na mabadiliko hayo mengi inabidi yafanywe ikiwamo kilimo mbadala.

Katika makala ifuatayo Priscilla Lecomte anaangazia kile kinachofanyika nchini Tanzania katika kukabilina na mabadiliko ya tabia nchi katika kilimo