Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tanzania yaonesha vivutio na mikakati ya kuboresha miji

Tanzania yaonesha vivutio na mikakati ya kuboresha miji

Mkutano wa saba  kuhusu mipango miji ukiwa unaendela mjini Medellin nchini Colombia maonyesho ni moja ya vivutio ambapo nchi na taasisi mbalimbali zinaonyesha kazi na vivutio vinavyohusu ukuaji wa miji.

Katika pitapita yake mwaikilishi wa  idhaa katika mkutano Joshua Mmali amekutana na mmoja wa wawakilishi wa Tanzania Helena Mtutwa ambaye ni msajili wa bodi ya wataalamu wa mipango miji  ambaye anaeleza bidhaa zinazoonyeshwa katika banda la maonyesho na mkakati wa serikali yake.

 Ungana na Joshua katika pilikapilika huko mjini Medellin

 (SAUTI MAHOJIANO)